Bwana Yesu apewe sifa.
Mkuu wa chuo cha Elam Christian University anapenda kuwakaribisha umma wote wa ECU Katika mahafali ya Saba sehemu ya tatu ambayo itafanyika katika Kampasi yetu ya Malawi katika kambi ya Wakimbizi Dzaleka.
Mahafali haya yatafanyika siku ya Jumamosi tarehe 27/11/2021 kuanzia saa tano asubuhi hadi saa kumi jioni ya Malawi.
Watu wote mnakaribishwa
Comments
Tunamshukuru Mungu kwa kutufikishia chuo hiki kizuri hapa nchini Malawi, pia tunamshukuru profesa Dr.Mponzi kwa kazi unayoendelea kuifanya kwa kuwaanda watendakazi watakao ifikia miisho ya Dunia. chuo hiki kweli kinatufaa sana pia hapa kwetu Malawi ni chuo kinacho toa mafunzo yenye viwango vya juu. May God bless all staff members of ECU.

Add New Comment