ECU END OF THE YEAR OFFER
YAH: OFA YA PUNGUZO LA GHARAMA ZA MASOMO KWA WATU WOTE WATAKAOANZA MASOMO MWEZI NOVEMBA NA DISEMBA 2021.
Watumishi wa Mungu aliye juu sana, nawasalimu katika Jina la Yesu Kristo aliye hai.
Husika na kichwa cha ujumbe hapo juu kama kinavyojieleza.
Ngazi ya masomo | Maelezo | Gharama ya OFA | Gharama halisi |
Shahada za Uzamivu (Doctorate degrees) | Usajili | 55,000 | 105,000 |
Udhibiti ubora | 55,000 | 65,000 | |
Uendeshaji | 35,000 | 55,000 | |
Ada kwa kozi | 210,000 | 365,000 | |
|
|
|
|
Shahada za Uzamili au Umahiri (Master degrees) | Usajili | 30,000 | 65,000 |
Udhibiti ubora | 40,000 | 55,000 | |
Uendeshaji | 35,000 | 55,000 | |
Ada kwa kozi | 75,000 | 255,000 | |
|
|
|
|
Stashahada za Uzamili (Postgraduate Degrees) | Usajili | 25,000 | 45,000 |
Udhibiti ubora | 35,000 | 45,000 | |
Uendeshaji | 35,000 | 55,000 | |
Ada kwa kozi | 65,000 | 110,000 | |
|
|
|
|
Shahada za kwanza au za Awali (Bachelor Degrees) | Usajili | 30,000 | 45,000 |
Udhibiti ubora | 35,000 | 45,000 | |
Uendeshaji | 25,000 | 35,000 | |
Ada kwa kozi | 65,000 | 110,000 | |
|
|
|
|
Stashahada ya juu (Advanced Diploma) | Usajili | 15,000 | 40,000 |
Udhibiti ubora | 30,000 | 35,000 | |
Uendeshaji | 25,000 | 25,000 | |
Ada kwa kozi | 60,000 | 75,000 | |
|
|
|
|
Stashahada za kawaida (Ordinary Diploma) | Usajili | 15,000 | 35,000 |
Udhibiti ubora | 25,000 | 35,000 | |
Uendeshaji | 15,000 | 25,000 | |
Ada kwa kozi | 55,000 | 55,000 | |
|
|
|
|
Astashahada (Certificate programs) | Usajili | 15,000 | 35,000 |
Udhibiti ubora | 15,000 | 25,000 | |
Uendeshaji | 15,000 | 25,000 | |
Ada kwa kozi | 45,000 | 45,000 | |
|
|
|
|
Astashahada ya Msingi (Basic Certificate) | Usajili | 10,000 | 35,000 |
Udhibiti ubora | 25,000 | 20,000 | |
Uendeshaji | 15,000 | 25,000 | |
Ada kwa kozi | 35,000 | 45,000 | |
|
|
|
|
Ili uweze kufanya usajili katika kozi fulani lazima uwe umelipa gharama za usajili, Udhibiti ubora na gharama za Uendeshaji.
OFA hii itaanza kutumika kuanzia tarehe 25 Novemba 2021 na kuisha tarehe 31 Disemba 2021.
Tunawatakia kila la kheri
Wenu katika Elimu ya Kikristo
REV. PENDO S. BELUZO
NAIBU MAKAMU MKUU WA CHUO TAALUMA
ELAM CHRISTIAN UNIVERISTY
Add New Comment