TANGAZO LA NAFASI ZA MASOMO YA DIGRII YA KWANZA YA THEOLOJIA KWA LUGHA YA KISWAHILI

TANGAZO LA NAFASI ZA  MASOMO YA DIGRII YA KWANZA YA THEOLOJIA KWA LUGHA YA KISWAHILI

Naibu Makamu Mkuu wa Chuo   Elam Christian University   (ECU) anapenda kuwatangazia wakristo wote na wachungaji nafasi za kujiunga na masomo ya Shahadaya Kwanza (Bachelor Degree )  ya Biblia na Theolojia  (BBT) kwa lugha ya Kiswahili.  Digrii ya Kwanza ya Biblia na Theolojia ni program maalumu ambayo imeandaliwa kwaajili ya wanafunzi ambao  hawana ujuzi wa lugha ya kiingereza.  Lugha haipaswi kuwa kikwazo cha kuzuia watu kutotimiza ndoto zao za kielimu. Wataalamu wa isimu  wanathibitisha kwamba mtu anapojifunza kwa lugha yake anaelewa zaidi kuliko mtu anaejifunza kupitia lugha ya kigeni.  

Kwa kutambua hayo  Baraza la chuo limepitisha azimio la kuanzishwa kwa kwa program ya Shahada ya kwanza ambayo itafundishwa kwa lugha ya Kiswahili

Programu hii inalenga kumjengea  mwanafunzi uwezo, stadi na ujuzi katika Biblia, Theolojia, Huduma na uongozi wa kiroho ili kumwezesha  mwanafunzi kuwa na ufanisi katika huduma na kuweza kukabiliana na kuzishinda changamoto  mbalimbali zinazojitokeza katika  huduma na katika maisha ya kiroho kwa ujumla.

Program hii itamuwezesha mwanafunzi kuwa na uelewa wa juu zaidi wa Biblia na Huduma na mwanafunzi ataweza kuhubiri na kulifasiri Neno la Mungu kwa usahihi zaidi.

 

Programu hii ya Shahada ya Kwanza ya Biblia na Theolojia kwa Kiswahili inatolewa katika vituo vyetu vya mafunzo vilivyoko katika mikoa mbalimbali hapa nchini na nchi za nje.

Pia masomo  haya ya shahada ya Kwanza kwa lugha ya Kiswahili yanatolewa kupitia Elimu masafa yaani mwanafunzi  ambae hana muda wa kukaa darasani ataweza kusoma kwa njia ya mtandao au posta na kufikia malengo yake ya kupata Digrii ya Kwanza ya  Theolojia

Elam Christian University ni Chuo ambacho  kina usajili wa  kimataifa na kina wakufunzi na wahadhiri mahiri waliobobea katika ufundishaji na huduma. Vyeti vyote vinavyotolewa na chuo hiki vinatambuliwa kitaifa na kimataifa.

Chuo kimetoa ofa kwa wanafunzi wote watakaojunga na program hii chuo kitawafadhili  50% ya Ada ya mafunzo . Wanafunzi watalipa  ada 50% mpaka wanahitimu mafunzo yao.

 

Muundo  wa programu

Idadi ya kozi mwanafunzi anazotakiwa kusoma inatofautiana kulingana na sifa za kuingilia kama ifuatavyo:-

Mwanafunzi mwenye Diploma ya Theolojia atasoma kozi 35

Mwanafunzi mwenye Shahada ya  Sekyura atasoma kozi 25 na kuandika tasnifu moja

Mwanafunzi mwenye   Diploma ya Sekyura atasoma kozi 42

Sifa za kujiunga

Mwombaji anapaswa kuwa na sifa zifuatazo:-

1.      Awe mwamini wa kanisa la mahali pamoja (local congregation)  asiwe mwongofu mpya

2.       Awe na umri wa kuanzia miaka 21 na kuendelea

3.      Awe na Stashahada au Shahada yoyote kutoka katika chuo kinachotambuliwa na  chuo hiki

4.      Awe  na wito wa kumtumikia Mungu

5.      Awe tayari kufuata sheria kanuni na taratibu zote za Elam Christian University

6.      Awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika Kiswahili Fasaha.

Namna ya kujiunga

Fomu za Kujiunga zinapatikana katika vituo vyetu vya mafunzo  vilivyoko katika mikoa mbalimbali

Pia unaweza kupata fomu kupitia mtandao  tembelea tovuti yetu www.elamcuedu.org

 Mwanafunzi atapaswa kulipia ada ya  kujiunga kabla ya kujaza fomu

Muda wa kujiunga na mafunzo haya ni muda wote

 Gharama za mafunzo

Na

Aina Ya Malipo

Kiasi (Tsh)

01.   

Fomu ya Kujiunga

35,000/=

02.   

Udhibiti ubora wa Elimu  (inalipwa mara moja tu kwa mwaka)

35,000/=

03.   

Uendeshaji wa Shule ya Shahada za Awalli Elimu  (inalipwa mara moja tu kwa mwaka)

35,000/=

04.   

Kitambulisho cha Mwanafunzi

15,000/=

05.   

Ada kwa kila kozi (somo) 115,000/=  baada ya punguzo la ufadhili mwanafunzi analipa

65,000/=

06.   

Mazoezi ya vitendo    (awamu mbili ) kila awamu

65,000/=

07.   

Usimamizi wa tafiti

115,000/=

08.   

Ada ya cheti baada ya kufuzu mafunzo

125,000/=

  

ORODHA YA KOZI ZA SHAHADA YA KWANZA BIBLIA NA THEOLOJIA

MWAKA WA KWANZA

Semista ya Kwanza

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EBA 0111

Stadi za Mawasiliano na Mbinu za Kujifunza

2

Lazima

EBT 0112

Utangulizi wa Biblia

3

Lazima

EBB 0113

Pitio la Agano la Kale

3

Lazima

EBB 0114

Pitio la Agano Jipya

3

Lazima

EBT  0115

Misingi ya Imani

3

Lazima

EBM  0116

Kuisikia sauti ya Mungu

3

Lazima

EBB 0117

Kujifunza Biblia kwa Ubunifu I

3

Lazima

EBT  118

Utangulizi wa Theolojia

2

Lazima

EBT 0119

Sikukuu za Bwana

3

Lazima

EBM 01110

Ndoa na Familia

3

Lazima





Semista ya pili

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EBB 0121

Kujifunza Biblia kwa Ubunifu II

3

Lazima

EBT 0122

Kukuza Mtazamo wa Ulimwengu wa Biblia

3

Kuchagua

EBT 0123

Pneumatolojia

3

Lazima

EBM 0124

Mikakati ya Mavuno ya Kiroho

3

Kuchagua

EBT  0125

Theolojia ya Maagano

3

Lazima

EBT 0126

Theolojia ya Nyakati

3

Lazima

EBL 0127

Kanuni za Kufaulu na Kufanikiwa Ki-Biblia

3

Kuchagua

EBT 0128

Theolojia   ya Kimfumo III

3

Lazima

EBM 0129

Mazoezi ya Vitedo I

2

Lazima

Semista ya tatu

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EBB 0231

Injili  Zinazolandana

3

Kuchagua

EBA 0232

Utangulizi wa Saikolojia

3

Lazima

EBL 0233

Utawala wa Kanisa

3

Lazima

EBT 0234

Theolojia ya uwakili

3

Kuchagua

EBL 0235

Kiongozi wa Kanisa mwenye ufanisi

3

Lazima

EBT 0236

Theolojia IV

3

Lazima

EBM 0237

Historia ya kanisa la Afrika

3

Kuchagua

EBM 0238

Historia ya kanisa III

3

Kuchagua

EBM 0239

Agizo  Kuu

3

Kuchagua

EBM 02310

Uongozi na umisheni I

3

Kuchagua

EBM 02311

Uongozi na Umisheni  II

3

Kuchagua

EBM 02312

Vita vya Kiroho I

3

Kuchagua

EBM 02313

Mazoezi ya Vitendo II

2

Lazima

EBT 02314

Dini za Ulimwengu

3

Kuchagua

MWAKA WA  PILI

Semista ya Nne

NAMBA YA KOZI

JINA LA KOZI

KREDITI

HADHI

EBM 0241

Huduma yenye nguvu

3

Kuchagua

EBM 0242

Upako wa Roho Mtakatifu

3

Kuchagua

EBT 0243

Kanuni za Kfasiri Maandiko

3

Lazima

EBM 0244

Kanuni za Kuandaa Mahubiri

3

Lazima

EBM 0245

Utangulizi wa Umisheni

3

Kuchagua

EBT 0246

Ekklesiolojia

3

Kuchagua

EBM 0247

Kupanda makanisa

3

Kuchagua

EBM  0248

Vita vya Kiroho II

3

Kuchagua

EBT  0249

Mbinu za utafiti wa Ki-Theolojia

3

Kuchagua

EBM  02410

Huduma ya Kichungaji

3

Kuchagua

EBT 02411

Eskatolojia

3

Lazima

EBT 02412

Utafiti wa Ki-Theolojia

3

Lazima

EBM 02413

Ushauri wa Kichungaji

3

Lazima









 

 

 

Share :

Comments


Thomas Misoji Pastory
Thomas Misoji Pastory
09 Aug 2022 06:59 PM
Habari,Nimevutiwa na Tangazo la masomo ya biblia nami napenda nipate taarifa za masomo hasa ya mbali(masafa marefu).Naomba msaada watumishi Wa Mungu.
Anthony Peter
Anthony Peter
21 Nov 2022 09:22 PM
Nimevutiwa sana na kozi za chip hiki. Mungu awabariki sana. Ombi langu naomba nipate mawasiliano ili ikibidi tuzungumze zaidi.
Anthony Peter
Anthony Peter
21 Nov 2022 09:22 PM
Nimevutiwa sana na kozi za chip hiki. Mungu awabariki sana. Ombi langu naomba nipate mawasiliano ili ikibidi tuzungumze zaidi.
Anthony Peter
Anthony Peter
21 Nov 2022 09:22 PM
Nimevutiwa sana na kozi za chip hiki. Mungu awabariki sana. Ombi langu naomba nipate mawasiliano ili ikibidi tuzungumze zaidi.
Emannuel Kisend
Emannuel Kisend
19 Dec 2022 02:27 PM
Mungu akubariki sana
Emannuel Kisend
Emannuel Kisend
19 Dec 2022 02:27 PM
Mungu akubariki sana
Emannuel Kisend
Emannuel Kisend
19 Dec 2022 02:27 PM
Mungu akubariki sana
Emannuel Kisend
Emannuel Kisend
19 Dec 2022 02:27 PM
Mungu akubariki sana
Emannuel Kisend
Emannuel Kisend
19 Dec 2022 02:27 PM
MungRu akubariki sana
petro hermani
petro hermani
06 Feb 2023 01:56 PM
Naitaji kujinga na chuo hiki kwa masomo ya thiolojia ngazi ya diproma je? inawezekana naomba kujibiwa kwa ukulasa wangu wa fecebook ph. Phat. Com
Pastor Jackson p.mboyi
Pastor Jackson p.mboyi
09 Feb 2023 02:12 PM
Naomba kujiunga na masomo ya Digri .Digri ya pili mastes
Naomba majibu
Pastor Jackson p.mboyi
Pastor Jackson p.mboyi
09 Feb 2023 02:12 PM
Naomba kujiunga na masomo ya Digri .Digri ya pili mastes
Naomba majibu
Pastor Jackson p.mboyi
Pastor Jackson p.mboyi
09 Feb 2023 02:13 PM
Naomba kujiunga na masomo ya Digri .Digri ya pili mastes
Naomba majibu
Pastor Jackson p.mboyi
Pastor Jackson p.mboyi
09 Feb 2023 02:13 PM
Naomba kujiunga na masomo ya Digri .Digri ya pili mastes
Naomba majibu
BYAMUNGU ISSA
BYAMUNGU ISSA
22 Jul 2023 12:32 AM
Hujambo Mheshimiwa,

Ninayo shauku ya kuweza kusomea kozi ya Kiswahili kwenye Chuo Kikuu ambacho kiko chini ya usimamizi wako ili niweze kuwa mwalimu bora katika lengo la kuweza kuisaidia jamii.
BYAMUNGU ISSA
BYAMUNGU ISSA
22 Jul 2023 12:32 AM
Hujambo Mheshimiwa,

Ninayo shauku ya kuweza kusomea kozi ya Kiswahili kwenye Chuo Kikuu ambacho kiko chini ya usimamizi wako ili niweze kuwa mwalimu bora katika lengo la kuweza kuisaidia jamii.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:19 PM
Muache utapeli na wizi . Mungu hadhihakiwi hata kidogo.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:32 PM
Nilikuwa nashauku ya kusoma kwenye hii taasisi inajiita ECU , nilidhamilia hivyo , nikaamua kufungua safari kutoka Tanga kwenda mbeya ( mahali ambako chuo kilipo / Kwa mujibu ya maelezo ya prospectus). Cha ajabu mwenyeji wangu anayejiira kwa cheo Cha CHANCELLOR, ananiambia amesafiri , na hata muda mwingine hajibu sms Kwa swali langu kutaka kujua mahali chuo kilipo hapo mbeya. Nikihitaji kufika ili nisajiliwe nisome Kwa njia ya masafa lakini mwenyeji hakunipa ushirikiano akinitaka nitume pesa ya usajiri nipatiwe fomu.

Narudia Tena , muache utapeli utapeli muache. Mungu hadhihakiwi.
Jeremiah
Jeremiah
22 Aug 2023 01:36 PM
Mtu hawezi kusafiri na ofisi , maana hayupo peke yake .Nimepoteza fedha na muda Kwa ajiri ya watu matapeli, sijapenda. Naomba selikali isiwafumbie macho matapeli wote wanaojipanga kulaghai wanainchi.
Shukrani buluma msafiri
Shukrani buluma msafiri
09 Sep 2024 07:44 AM
Mimi ni mwalimu shukrani nafundisha shoule ya msingi Nina miaka 15 kazini pia nilibatizwa na mchungaji Amos Peter mtaa wanyamilembe chato natamani sana kuwa mchungaji nitumie mbinu gani Ili nisomee uchungaji my contact 0759853169/0621886659
Emanuel lemburis
Emanuel lemburis
23 Sep 2024 11:43 AM
nimependa sana na nitaka kujuunga na chuo hiyo kwa maswala ya diplom na ngazi ya digrii no yangu ni 0765551351
Kwa mtandao wa kijamii
fecabook, isgrm, napatikan kwa jina la Emanuel lemburis

Add New Comment

 Your Comment has been sent successfully. Thank you!   Refresh
Error: Please try again